Amu. 18:10 SUV

10 Hapo mtakapokwenda mtawafikilia watu wakaao salama salimini, na hiyo nchi nayo ni kubwa; kwa kuwa Mungu ameitia mikononi mwenu; ni mahali ambapo hapana kupungukiwa na kitu cho chote kilicho duniani.

Kusoma sura kamili Amu. 18

Mtazamo Amu. 18:10 katika mazingira