Amu. 18:9 SUV

9 Wakasema, Haya, inukeni, twende tukapigane nao; kwa maana tumeiona hiyo nchi nayo ni nchi nzuri sana; nanyi, je! Mwanyamaa tu? Msiwe wavivu kwenda, na kuingia, ili mpate kuimiliki nchi hiyo.

Kusoma sura kamili Amu. 18

Mtazamo Amu. 18:9 katika mazingira