Amu. 20:18 SUV

18 Basi wana wa Israeli wakainuka, wakakwea kwenda Betheli, nao wakataka shauri kwa Mungu; wakasema, Ni nani atakayekwea kwenda vitani kwanza kwa ajili yetu juu ya wana wa Benyamini? BWANA akawaambia, Yuda atakwea kwanza.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:18 katika mazingira