Amu. 20:39 SUV

39 Nao watu wa Israeli walipogeuka katika vile vita, Benyamini naye akaanza kupiga na kuwaua watu wa Israeli kama watu thelathini; kwani walisema, Hakika yetu wamepigwa mbele yetu, vile vile kama katika vile vita vya kwanza.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:39 katika mazingira