Amu. 20:40 SUV

40 Lakini hapo hilo wingu lilipoanza kupanda kutoka katika mji, kama nguzo ya moshi, ndipo Wabenyamini wakaangalia nyuma, na tazama, huo mji mzima ulikuwa wapaa juu katika moshi kwenda mbinguni.

Kusoma sura kamili Amu. 20

Mtazamo Amu. 20:40 katika mazingira