Amu. 3:10 SUV

10 Roho ya BWANA ikamjilia juu yake, naye akawa mwamuzi wa Israeli; akatoka kwenenda vitani, naye BWANA akamtia huyo Kushan-rishathaimu, mfalme wa Mesopotamia, mkononi mwake; na mkono wake ukamshinda Kushan-rishathaimu.

Kusoma sura kamili Amu. 3

Mtazamo Amu. 3:10 katika mazingira