Amu. 3:9 SUV

9 Kisha wana wa Israeli walipomlingana BWANA, BWANA akawainulia wana wa Israeli mwokozi, aliyewaokoa, yaani, Othnieli mwana wa Kenazi, ndugu mdogo wa Kalebu.

Kusoma sura kamili Amu. 3

Mtazamo Amu. 3:9 katika mazingira