Amu. 5:14 SUV

14 Kutoka Efraimu walitelemka wao ambao shina lao ni katika Amaleki,Nyuma yako, Benyamini, kati ya watu wako.Kutoka Makiri walishuka maliwali,Na kutoka Zabuloni wao washikao fimbo ya mwandishi.

Kusoma sura kamili Amu. 5

Mtazamo Amu. 5:14 katika mazingira