Amu. 5:15 SUV

15 Na wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora.Kama alivyokuwa Isakari, ndivyo alivyokuwa Baraka.Waliingia bondeni kwa kasi miguuni pake.Kwenye vijito vya ReubeniPalikuwa na makusudi makuu mioyoni.

Kusoma sura kamili Amu. 5

Mtazamo Amu. 5:15 katika mazingira