Amu. 5:30 SUV

30 Je! Hawakupata mateka na kuyagawanya,Kijakazi, vijakazi wawili, kwa kila mtu?Kwa Sisera nyara ya mavazi ya rangi mbali mbali,Nyara za mavazi ya rangi mbali mbali ya darizi;Ya rangi mbali mbali ya darizi, pande zote mbili,Juu ya shingo za hao mateka.

Kusoma sura kamili Amu. 5

Mtazamo Amu. 5:30 katika mazingira