Amu. 5:31 SUV

31 Na waangamie vivyo hivyo adui zako wote, Ee BWANA.Bali wao wampendao na wawe kama jua hapo litokapo kwa nguvu zake. Nayo nchi ikastarehe miaka arobaini.

Kusoma sura kamili Amu. 5

Mtazamo Amu. 5:31 katika mazingira