Amu. 6:30 SUV

30 Ndipo watu wa mji wakamwambia Yoashi Mlete mwanao, afe; kwa sababu ameibomoa madhabahu ya Baali na kwa sababu ameikata ile Ashera iliyokuwa karibu nayo.

Kusoma sura kamili Amu. 6

Mtazamo Amu. 6:30 katika mazingira