29 Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
Kusoma sura kamili Amu. 6
Mtazamo Amu. 6:29 katika mazingira