Amu. 7:11 SUV

11 nawe utasikia wanayoyasema, na baada ya haya mikono yako itatiwa nguvu; ushuke kambini. Ndipo akashuka pamoja na Pura mtumishi wake hata kufikilia mwisho wa watu wenye silaha waliokuwa kambini.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:11 katika mazingira