Amu. 7:12 SUV

12 Nao Wamidiani na Waamaleki na, hao wana wa mashariki walikuwa wametua bondeni, mfano wa nzige kwa wingi; na ngamia zao walikuwa hawana hesabu; mfano wa mchanga wa ufuoni, kwa wingi.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:12 katika mazingira