Amu. 7:8 SUV

8 Basi wale watu wakachukua vyakula vyao mikononi mwao, na tarumbeta zao; naye akawapeleka watu wote wa Israeli, kila mtu hemani kwake; bali aliwazuia wale watu mia tatu; na kambi ya Wamidiani ilikuwa chini yake, bondeni.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:8 katika mazingira