Amu. 7:7 SUV

7 BWANA akamwambia Gideoni, Kwa watu hawa mia tatu walioyaramba maji nitawaokoa, nami nitawatia Wamidiani katika mikono yako; lakini watu hawa wote wengine na waende zao, kila mtu mahali pake.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:7 katika mazingira