Amu. 7:6 SUV

6 Na hesabu ya hao waliokunywa kwa kuramba-ramba, wakipeleka mkono kinywani, ilikuwa watu mia tatu; bali watu wengine wote walipiga magoti kunywa maji.

Kusoma sura kamili Amu. 7

Mtazamo Amu. 7:6 katika mazingira