Amu. 8:32 SUV

32 Basi Gideoni mwana wa Yoashi akafa mwenye umri wa uzee mwema, akazikwa katika kaburi la Yoashi baba yake, katika Ofra ya Waabiezeri.

Kusoma sura kamili Amu. 8

Mtazamo Amu. 8:32 katika mazingira