Amu. 8:33 SUV

33 Kisha ikawa, mara alipokufa Gideoni, wana wa Israeli wakakengeuka tena, wakawaandama Mabaali kwa ukahaba, wakamfanya Baal-berithi kuwa ni mungu wao.

Kusoma sura kamili Amu. 8

Mtazamo Amu. 8:33 katika mazingira