Eze. 1:24 SUV

24 Nao walipokwenda nalisikia mshindo wa mabawa yao, kama mshindo wa maji makuu, kama sauti yake Mwenyezi, mshindo wa mvumo, kama mshindo wa jeshi; hapo waliposimama walishusha mabawa yao.

Kusoma sura kamili Eze. 1

Mtazamo Eze. 1:24 katika mazingira