Eze. 11:12 SUV

12 nanyi mtajua ya kuwa mimi ni BWANA; kwa maana hamuendi katika amri zangu, wala hamkuzishika hukumu zangu, bali mmetenda mambo kama hukumu za mataifa wanaowazunguka.

Kusoma sura kamili Eze. 11

Mtazamo Eze. 11:12 katika mazingira