Eze. 12:22 SUV

22 Mwanadamu, ni mithali gani hii mliyo nayo katika nchi ya Israeli, mkisema, Siku hizo zinakawia na maono yote hayatimizwi.

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:22 katika mazingira