Eze. 12:23 SUV

23 Basi uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Nitaikomesha mithali hii, wasiitumie tena kama mithali katika Israeli; lakini uwaambie, Siku hizo ni karibu, na utimilizo wa maono yote.

Kusoma sura kamili Eze. 12

Mtazamo Eze. 12:23 katika mazingira