41 Nao watazipiga moto nyumba zako, na kutekeleza hukumu juu yako mbele ya wanawake wengi, nami nitakulazimisha kuacha mambo ya kikahaba, wala hutatoa ujira tena.
Kusoma sura kamili Eze. 16
Mtazamo Eze. 16:41 katika mazingira