Eze. 16:42 SUV

42 Hivyo ndivyo nitakavyoshibisha ghadhabu yangu juu yako, na wivu wangu utanitoka, nami nitatulia wala sitaona hasira tena.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:42 katika mazingira