Eze. 17:23 SUV

23 juu ya mlima wa mahali palipoinuka pa Israeli nitakipanda; nacho kitatoa matawi, na kuzaa matunda, nao utakuwa mwerezi mzuri; na chini yake watakaa ndege wa kila namna ya mbawa; katika uvuli wa matawi yake watakaa.

Kusoma sura kamili Eze. 17

Mtazamo Eze. 17:23 katika mazingira