Eze. 17:24 SUV

24 Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, BWANA, nimenena, nami nimelitenda jambo hili.

Kusoma sura kamili Eze. 17

Mtazamo Eze. 17:24 katika mazingira