Eze. 18:18 SUV

18 Kwa habari za yule baba yake, kwa sababu aliwaonea watu kwa ukali mwingi, na kumnyang’anya ndugu yake mali yake kwa nguvu; na kuyatenda yasiyo mema kati ya watu wake, tazama, atakufa katika uovu wake.

Kusoma sura kamili Eze. 18

Mtazamo Eze. 18:18 katika mazingira