Eze. 18:19 SUV

19 Lakini ninyi mwasema, Kwani yule mwana asiuchukue uovu wa baba yake? Yule mwana atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu na kuzitenda, hakika ataishi.

Kusoma sura kamili Eze. 18

Mtazamo Eze. 18:19 katika mazingira