Eze. 18:21 SUV

21 Lakini mtu mbaya akighairi, na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kuzishika amri zangu zote, na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.

Kusoma sura kamili Eze. 18

Mtazamo Eze. 18:21 katika mazingira