Eze. 20:27 SUV

27 Basi, mwanadamu, sema na nyumba ya Israeli, uwaambie, Bwana MUNGU asema hivi; Baba zenu wamenitukana kwa jambo hili, kwa kuwa wamekosa kosa juu yangu.

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:27 katika mazingira