Eze. 20:26 SUV

26 nami nikawatia unajisi kwa matoleo yao wenyewe, kwa kuwa walipitisha motoni wote waliofungua tumbo; ili kuwafanya kuwa ukiwa, wakapate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:26 katika mazingira