Eze. 20:32 SUV

32 Na haya yote yaingiayo katika nia zenu hayatakuwa kamwe; ikiwa mmesema, Sisi tutakuwa sawasawa na mataifa, sawasawa na jamaa za nchi nyingine, kutumikia miti na mawe.

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:32 katika mazingira