Eze. 20:33 SUV

33 Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, hakika kwa mkono hodari, na kwa mkono ulionyoshwa, na kwa ghadhabu iliyomwagika, nitakuwa mfalme juu yenu;

Kusoma sura kamili Eze. 20

Mtazamo Eze. 20:33 katika mazingira