Eze. 22:18 SUV

18 Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa taka za fedha kwangu; wote wamekuwa shaba, na bati, na chuma, na risasi, kati ya tanuu; wamekuwa taka za fedha.

Kusoma sura kamili Eze. 22

Mtazamo Eze. 22:18 katika mazingira