19 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Kwa sababu ninyi nyote mmekuwa taka za fedha, tazama, nitawakusanya kati ya Yerusalemu.
Kusoma sura kamili Eze. 22
Mtazamo Eze. 22:19 katika mazingira