Eze. 22:30 SUV

30 Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu.

Kusoma sura kamili Eze. 22

Mtazamo Eze. 22:30 katika mazingira