29 Watu wa nchi wametumia udhalimu, wamenyang’anya kwa nguvu; naam, wamewatenda jeuri maskini na wahitaji, nao wamewaonea wageni bila haki.
Kusoma sura kamili Eze. 22
Mtazamo Eze. 22:29 katika mazingira