Eze. 22:28 SUV

28 Na manabii wake wamewapakia chokaa isiyokorogwa vema, wakiona ubatili, na kuwatabiria maneno ya uongo, wakisema, Bwana MUNGU asema hivi; iwapo BWANA hakusema neno.

Kusoma sura kamili Eze. 22

Mtazamo Eze. 22:28 katika mazingira