Eze. 24:16 SUV

16 Mwanadamu, tazama, ninakuondolea kwa pigo moja tunu, mteule wa macho yako; walakini hutaomboleza wala kulia, wala yasichuruzike machozi yako.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:16 katika mazingira