Eze. 24:17 SUV

17 Ugua lakini si kwa sauti ya kusikiwa; usifanye matanga kwa ajili yake yeye aliyekufa; jipige kilemba chako, ukavae viatu vyako, wala usiifunike midomo yako, wala usile chakula cha watu.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:17 katika mazingira