Eze. 24:5 SUV

5 Uwatwae wateule wa kundi la kondoo, ukafanye chungu ya mifupa chini yake; ukalitokose sana; naam, mifupa yake itokoswe ndani yake.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:5 katika mazingira