Eze. 24:6 SUV

6 Basi Bwana MUNGU asema hivi; Ole wake mji wa damu! Hilo sufuria ambalo kutu yake i ndani yake, ambalo kutu yake haikulitoka; litoe kipande kipande; hapana kura iliyoanguka juu yake.

Kusoma sura kamili Eze. 24

Mtazamo Eze. 24:6 katika mazingira