Eze. 26:1 SUV

1 Ikawa katika mwaka wa kumi na mmoja, siku ya kwanza ya mwezi, neno la BWANA likanijia, kusema,

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:1 katika mazingira