Eze. 26:2 SUV

2 Mwanadamu, Kwa sababu Tiro amesema juu ya Yerusalemu, Aha! Yeye amevunjika aliyekuwa lango la kabila za watu; amenigeukia; nitajazwa kwa kuwa sasa ameharibika;

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:2 katika mazingira