Eze. 26:11 SUV

11 Kwa kwato za farasi zake atazikanyaga njia zako zote; atawaua watu wako kwa upanga, na minara ya nguvu zako itashuka hata nchi.

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:11 katika mazingira