Eze. 26:14 SUV

14 Nami nitakufanya kuwa jabali tupu; utakuwa mahali pa kutandazia nyavu za wavuvi; hutajengwa tena; maana mimi, BWANA, nimenena neno hili, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:14 katika mazingira