Eze. 26:15 SUV

15 Bwana MUNGU amwambia Tiro neno hili; Je! Visiwa havitatikisika kwa mshindo wa kuanguka kwako, watakapougua waliojeruhiwa, yatakapofanyika machinjo kati yako.

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:15 katika mazingira