Eze. 26:18 SUV

18 Sasa visiwa vitatetemeka katika siku ya kuanguka kwako; naam, visiwa vilivyo katika bahari vitafadhaika, kwa sababu ya kuondoka kwako.

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:18 katika mazingira